
Hapa Kanumba anachonga kibingwa na waandishi kutoka vyombo mbalimbali vya habari, kuna baadhi walileta hadi utani kwenye mahojiano hayo kwamba eti jamaa karudi kanenepa!Sasa sijui wakati anaondoka walimuona kakonda ? mimi simo !
Nyota wa filamu hapa Bongo , Kanumba akiwa na Mkurugenzi wa African Stars , Asha Baraka ambaye alienda kumpokea kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam siku ya Jumapili usiku.
Kanumba alikuwa huko Uingereza trakribani miezi miwili ambapo alikuwa anafanya filamu mpya kali inayoitwa 'Kanumba In London' , endelea kufungua blogu hii kwa taarifa za filamu hiyo ambapo kwa wakati huu kuna mipango inaendelea kufanywa ili iingie kwenye soko .
No comments:
Post a Comment