Tuesday, 4 August 2009

VIPI TENA TINO UNAUCHAPA USINGIZI HUKU UMESIMAMA?

Huyu jamaa ni muigizaji mahiri wa filamu hapa Bongo , anajulikana sana kwa jina la Tino , Jumapili iliyopita usiku katikukumbi wa TCC Chang'ombe , nilimkuta amesimama kwenye nguzo huku akitaka kusinzoia sijui au ndiyo pozi lenyewe?

No comments: