Wednesday, 12 August 2009

NI MAMISS EAST AFRICA MOROGORO HAWA !



Huyu anaitwa Sophia Waziri Mapepe, ana umri wa miaka kumi na nane , anaishi mtaa wa Mtoni mjini Morogoro , licha ya u-miss lakini anamuonekano f ' lani hivi kama wa ki-.... dooo!







Huyu anaitwa Herieth Andrew ama imri wa miaka kumi na nane , anaishi maeneo ya Kilakala mjini Morogoro , pia amewahi kushiriki kwenye fashion show kibao tu hivyo ni mzoefu wa pilikapilika kama hizi.

No comments: