ashabaraka
Wednesday, 12 August 2009
NI HASIRA ZA SUPU AU ZA DULLY?
Kama kula kwenye ndio huku kwa kukunja sura basi wewe mwenzangu umezidiiiii!
Huyu ni Dully Sykes ambaye kimuziki ni nyota wa Bongo Flava , hapa ni leo jioni pale Mango Garden ambapo alikuwa anakunywa supu . Supu , Supuuuu!
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment