
Ferguson akiimba kwa hisia fulani hivi .

Ndio zao hizo !

Wanainua visigino vyao taratibu .

Kikosi cha kupepeta kipo kazini .

Kupaza akideka sambamba na mikito .
Burudani ilipendeza kwa sana kiasi watu wakliotia timu ndani ya njengo wakabaki midomo wazi wasijui cha kufanya zaidi ya kwenda kwenye sakafu ya dansi yaani pale katikati wakajibana bana weeeee!
1 comment:
Safi sana wana wa kutwanga na kupepeta.
Post a Comment