Thursday, 30 July 2009

HAPO NI CLUB MAISHA JANA USIKU

Msafiri a.k.a Diof akifanya mautundu jukwaani huku akiweka pozi f'lani hivi !

Huyu ni Kupaza ambaye jana alifanikiwa kung'ara mno jukwaani . Kila siku ya Jumatano African Stars huwa inatoa 'dozi ' nzito kwa kutwanga na kupepeta kwenye ukumbi wa Club Maisha kwa kiingilio cha shilingi elf tano. Wote mnakaribishwa kwa sana tu !

No comments: