Friday, 31 July 2009

NI GAZA KIWALANI- JANA USIKU

Wote ni Wakurugenzi !


Dizaini kama wanasugua visigino vile!


Mkurugenzi wa bendi ya African Stars , Asha Baraka (aliyeshika karatasi) akicheki cheki hesabu kama zipo sawa huku wanamuziki wa bendi hiyo wakifuatilia kwa makini .Hapo ni nyuma ya jukwaa.




Aisha ambaye ni mnenguaji mahiri wa mtindo wa kutwanga na kupepeta akiwa na King Kif jana usiku kwenye ukumbi wa Gaza huko Kiwalani ambapo bendi ya African Stars iliwakilisha sanaaaa !!!



No comments: