
Hili ni tangazo linalohusu shoo yetu ya leo kwenye ukumbi wa Gaza Strip Montel uliopo maeneo ya Kiwalani nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Huyu ni Victor B Nachenga ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya First Entertainment ya jijini Dar es Salaam ambayo imeandaa shoo ya leo .

Pia kampuni hiyo imeandaa shoo nyingine kama tangazo hili linavyosomeka.
1 comment:
Twanga Pepeta is the best allways tuwekee picha za Muscat Festival.
Post a Comment