Thursday, 30 July 2009

LEO AFRICAN STARS KUTWANGA GAZA STRIP MONTEL -KIWALANI

Hili ni tangazo linalohusu shoo yetu ya leo kwenye ukumbi wa Gaza Strip Montel uliopo maeneo ya Kiwalani nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Huyu ni Victor B Nachenga ambaye ni Mkurugenzi wa kampuni ya First Entertainment ya jijini Dar es Salaam ambayo imeandaa shoo ya leo .


Pia kampuni hiyo imeandaa shoo nyingine kama tangazo hili linavyosomeka.


1 comment:

Born 2 Suffer said...

Twanga Pepeta is the best allways tuwekee picha za Muscat Festival.