Wednesday, 6 April 2011

TWANGA YATAMBURISHA WAWILI WAPYA

Mbunge wa jimbo la Mvomero, Amosi Makala, akiwatunza wanenguaji na wanamuziki wote wa bendi hiyo.
Mwanamuziki Machachari wa bendi ya Twanga Pepeta, Chalz Baba (wa tatu kushoto), akimkaribisha Mbunge wa Mvomero Amosi makala na Mmbunge wa Dodoma mjini muda mfupi baada ya kuwatamburisha wanamziki wapya.
Mnenguaji mpya wa bendi hiyo, Fasha akionyesha uwezo wake kwa mbele ya mashabiki waliofurika katika ukumbi wa Sun Cirro Club.
Mambo yalikuwa hivi kwa Fasha.
Rapa mpya wa Twanga pepeta, akionyesha uwezo wake kwa mashabiki.

No comments: