Friday, 22 April 2011

TWANGA NA MAMBO YA MKESHA WA IJUMAA KUU NDANI YA KIOTA CHA CLUB SUN CIRO SINZA


Hapa wanawapa Hi mashabiki wa Twanga Popote pale walipo.Kadhalika wanawatakia Ijumaa Kuu njema, leo Ijumaa atatumbuiza kwa Jimmy Kiwalani kesho watakuwa Twanga City Mango Garden, Jumapili Mchana Leaders Club na usiku watakuwa TCC Chang'ombe.


Swagger, za Twanga Sun Cirro

Nikawafotoa kwa juu safu ya wanenguaji wa kike wa bendi ya Twanga.



Aiii yaani Maria Soloma anaisikilizia keki na utamu wake.

Zamu ya kiongozi wa wanenguaji wa kioume Super K.



Sabrina akiwa kwenye pozi na Asha Saidi 'Shalapova'

Na mimi mama nisipitwe nikalishwa na keki na Bababy.

Baby akimlisha mshabiki mkubwa wa Twanga ambaye hakosenaki katika kila onyesho la bendi hiyo.

Kiongozi wa bendi ya Twanga Luiza Mbutu akiwajibika usiku wa kuamkia leo.


Mamaa Asha Baraka kushoto akiwa na mwimbaji wa kike wa Twanga Janet Isinika hapa mara baada ya kula keki ya Baby Tall.

Ikawa zamu ka kulishwa Asha Sharapova.

Wasanii wa bendi ya Twanga wakiwa katika makamuzi usiku wa kuamkia leo ndani ya Club Sun Ciro.

Baby Tall hapa akimlisha mnenguaji mwenzake kipande cha keki.

No comments: