Safu ya waimbaji wa bendi hiyo ikiwajibika Ukumbini.
Saleh Kupaza (kulia), akisugua kisigino na Abilah Sungu.
Lilian Internet katika pozi
Sharapova & Maria Saloma katika pozi
Lilian Internet akiwa na Luiza Mbutu
Lilian Tungalaza 'Lilian Internet' (kushoto), akiwa na Maria Saloma.
Viongozi wa Wanenguaji, Kassim Mohamed 'Super K' na Lilian Internet.
Maria Saloma katika pozi
maria & Asha
Asha Baraka wa( pili kulia), akiwa na wanenguaji wake.
Mkurugenzi wa Bendi hiyo Asha Baraka (kulia), akiwa kwenyepozi na mnenguaji wa bendi hiyo Asha Said 'Shalapova'
Wanenguaji wa bendi hiyo wakiwajibika jukwaani.
Baadhi ya mashabiki wa bendi hiyo wakifuatilia onesho la bendi hiyo ndani ya ukumbi wa Mango Garden Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Sister Du Mariam katika pozi.
Mariam akiwa amemkumbatia shosti yake.
No comments:
Post a Comment