Thursday, 24 March 2011

CHEKI SWAGGER ZA TWANGA PEPETA NA WAPENZI WAKE TCC CLUB CHANG'OMBE!

Safu ya Wanenguaji wa kike wa bendi ya African Stars International 'Twanga Pepeta Sugu Kisima cha Burudani, wakifanya makamzi.
Baadhi ya wadau wa bendi hiyo wakishuhudia shoo kali iliyokuwa ikishushwa na wanenguaji hao.
Masanja nae alipata nafasi ya ku-show l'v na ka'kiburudisho kake namna hii!!

No comments: