twanga pepeta leo wapo ndani club billicanas ktk usiku wa mwafrika
Aisha Madinda mmoja wa wacheza show wa twanga pepeta.Twanga pepeta leo wanategemea kushukuka ukumbini na style yao ya kusugua kisigino ktk onyesho la usiku wa mwafrika ndani ya club billicanas.
No comments:
Post a Comment